Kuhusu Triple C, Mwakalabela aiomba msamaha Simba SC, asema alikuwa anatania

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
53,868
Reaction score
121,001

Sauti ya Mwakalabela

Baada ya Mwamba Haji Manara kuunguruma leo Wasafi Fm, majibu yameanza kutoka. Niwashauri viongozi wa Yanga waache kujidhalilisha wanaposhindana na Haji. Nasema hivyo kwa sababu chanzo cha haya yote ni baada ya Haji kumtakia Happy Birthday Papy Shishimbi,wao wakaumia sana. Lakini hakuna sehemu yeyote ambayo uongozi wa Simba ikiwepo Haji waliotamka kumsajiri Shishimbi,zaidi ya mashabiki pekee

"Nichukue nafasi hii kuwaomba msamaha Simba Sports Club na wanachama wa Yanga SC kuhusu kauli yangu juu ya kutaka kumsajili Claotous Chama, nilikuwa nafanya utani kama wao walivyokuwa wanafanya kwa Tshishimbi ila kiukweli mchezaji huyo sijazungumza nae. Nilizidisha utani na naahidi jambo hili halitojitokeza tena."

Fredrick Mwakalebela
 
Halafu utopolo walivyofurahi wakadhani ni kweli

♡♤Life belongs to all who struggle for it♤♡♧
 
huyu jamaa sijawah mkubali...ni mtu flani hi wa hovyohovyo...sijui alichaguliwaje huyu!?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Halafu utopolo walivyofurahi wakadhani ni kweli

♡♤Life belongs to all who struggle for it♤♡♧
hakupata muda wa kutafakari jinsi atakavyowapa presha mashabiki wao
 
Mkuu hutaki matani
[emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naamini TFF watatoa tamko kama sio adhabu. Time will tell

Sent using Jamii Forums mobile app
Wanasimba kuna adhabu kali zaidi apewe ama tumuache tuendelee na mambo yetu..!

Kulitaka Mwana Kulipewa Mwana
Adhabu kwa mujibu wa FIFA ni kufungiwa usajili miaka miwili ,ndo maana jamaa alikimbilia kuomba msamaha

♡♤Life belongs to all who struggle for it♤♡♧
Embu wekeni hiyo sheria ya FIFA au TFF inayosema kiongozi akitoa kauli ya kumuhitaji mchezaji fulani halafu kisha akashindwa kumsajili ni kosa kisheria.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…