*Wadhaminiutawala wamaghufuli huu kila kitu kodi ndo maana KTM imegwaya na WAZAMINI TBL wamebanwa pombe haziuziki kabisaa toka bar ziwe zinafunguliwa jioni tu
nawasilisha
Magufulification....Magufulization.....Hili jambo nimelifikiria kwa muda sana. Sijalipatia jibu kwanin this time KTM imechelewa. Hata miss TZ nayo sisikii arufu yake... what is going on......!!!!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hao walikuwa ni majipu... TRA wanawaskilizia tu waseme fyokooo... Kudadeki watalipa kodi ya miaka yootee... Likewise RUGE na FIESTA yake.