Jaman, mim ni mgen humu but nafahamu humu ni sehem pekee ya kutatua matatizo ya kielimu, hapa nyumban kuna bint kamaliza form four this year na anataka kwenda chuo, so hatufaham procedures za kutuwezesha kukamilisha zoez hili pia nahitaji kujua vyuo vinavyo toa elimu hiyo, nipo Dar es salaam pia itakua vizur nikipata hapa Dar
Natangulia shukran kwenu