Habari wanajukwaa hili muhimu,
Leo nimekuja na hoja ya kutaka kujua juu ya Elimu inayopatikana kwa njia ya mtandao (on-line) hasa kutoka vyuo vya nje.
Je, unaweza kutambulika kama mhitimu?
Je, ukiileta kibongo bongo hiyo shahada ya nje TCU hawawezi kuleta zengwe?
Msaada kwa aliyepitia huu uzoefu tafadhali.
Ahsanteni