Kuhusu ufugaji wa samaki

SHAXY MUYA

Member
Joined
Jul 29, 2015
Posts
46
Reaction score
9
Naomba msaada kwa anaefahamu namna ya ufugaji wa samaki.Nimekua na shauku yakufuga samaki ila nashindwa kwani sina japo elimu kidogo
 
Nenda nane nane mkuu jana nimejifunza mambo mengi sana kuhusu ufugaji wa samaki nane nane dodoma
 
ndugu yangu humu ndani kuna post ya ufugaji samaki ambayo ni complete. search itaipata name dukuduku zako zitaisha au nenda YouTube pale yapo madarasa hata ya kiswahili toka kenya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…