Kuhusu ugonjwa wa red eyes...

Broker...

Member
Joined
Jan 31, 2012
Posts
38
Reaction score
13
Nilikuwa naomba kuuliza kwamba mtu akipata huu ugonjwa (RED EYES) kisha akatumia dawa na kupona kuna uwezekano akaupata tena endapo atakaa karibu na mgonjwa mwenye nao? Plz mwenye kufahamu naomba majibu...
 
no unategemeana na kinga zako mwlini kuna mwingine akiupata hapati tena ugonjwa huo na kuna mtu yeye kila mwaka anao so simple and clear so ww mwenyewe na usiwanyanyapae watu kama hao
 
no unategemeana na kinga zako mwlini kuna mwingine akiupata hapati tena ugonjwa huo na kuna mtu yeye kila mwaka anao so simple and clear so ww mwenyewe na usiwanyanyapae watu kama hao

je kama mtu akiupata akapona kabisa then anaweza kuupata tena baada kama ya wk 3 kama akikaa na mwenye huu ugonjwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…