Kuhusu uhamisho kwa mtumishi wa mkataba

kituli one

JF-Expert Member
Joined
Feb 25, 2014
Posts
410
Reaction score
313
Ni zipi stahiki anazopaswa kupewa mtumishi wa mkataba wa ajira ya mwaka 1 na ambae amebakiza miezi 3 mkataba wake uishe,pindi anapo hamishwa kutoka kituo chake cha kazi kwenda kituo kingine?
 
Anapewa dagaa na furu anakuwa anakula kurudi kituo cha zamani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…