Kuhusu ujamaa nasema hapana

Umeongea vyema
 
Inawe
Umeongea vyema
inawezekana uko sawa,lakini jiulize kwanini wajamaa walishindwa kulinda nguvu zao na kuutapanya kote ulimwanguni,badala yake ubepari umefanikiwa.ukisema ujamaa wa kisasa utueleze utakuwaje.kumbuka pia asili yetu binadamu ni kuwa na vitu hasa ukisoma nadharia za Karl utamuelewa.
 
Socialism-Imperialism,labda ingefaa lakini si kushupalia ujamaa wa Nyerere miaka hii.
 
A
ngalia hata anayeushupalia hata hashtuki anaongea na kizazi cha namna gani,shida ni kuwa Butiku Babu hataki kukubali mabadiliko au anafanya kwa maksudi ili tuendelee kufikiri wako pamoja nasi.
 
Wapi ambapo ujamaa uliwahi kufanikiwa katika hii dunia?
 
Kijana unapojenga hoja kuwa uchumi wa nchi uachiwe sekta binafsi unatakiwa ujiulize swali moja la msingi ni akina nani hao? Je nchini yetu Tanzania inao wangapi? Je hao sektabinafsi uko jijini kwetu au jijini Dar wapo wangapi ambao ni watanzania? Je wanapatikanaje na gharama ya kuwwpata na kuendelea kuwatunza ni kiasi gani na nani analipa hiyo gharama? Ukinijibu maswali haya nitakuja kukufundisha hapa hapa๐ŸŽˆ
 
Kwahiv
yo wewe unaamini sekta binafsi sharti wawepo watz wengi ndio uridhike?
Kwani ubepari wa miaka hiyo ndio huu wa leo?

Kila kitu kinabadilika
tuonesheni sasa huo ujamaa utakavyokidhi muktadha wa sasa kama ubepari unavyofanya.
 
Kwahiv

yo wewe unaamini sekta binafsi sharti wawepo watz wengi ndio uridhike?

tuonesheni sasa huo ujamaa utakavyokidhi muktadha wa sasa kama ubepari unavyofanya.
Ni upotevu wa rasilimali fedha na bando kuendelea kujibishana na vijana wa namna yako,!
 
Kwahiv

yo wewe unaamini sekta binafsi sharti wawepo watz wengi ndio uridhike?

tuonesheni sasa huo ujamaa utakavyokidhi muktadha wa sasa kama ubepari unavyofanya.
Foreign investors usually follow guidance, interests and rules of their mother countries
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ