Kuhusu upotoshaji kuwa "Wasomi hawaajiriki", hebu tuwatambue matajiri wasomi

Kuhusu upotoshaji kuwa "Wasomi hawaajiriki", hebu tuwatambue matajiri wasomi

moghaka

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2011
Posts
252
Reaction score
143
UPOTOSHAJI "WASOMI HAWATAJIRIKI" EBU TUWATAMBUE MATAJIRI WASOMI DEGREE LEVEL

Kwangu mm nauona huu ni upotoshaji mkubwa na wenye madhara kwenye jamii yetu..

Nachojua ni kweli wasio wasomi kwa ujumla ni more risk taker kulinganisha na wasomi lakini hii pekee sio factor ya ku generalise lazima wafaulu kuliko wasomi sio kweli.

Kumbuka pia kuwa wasomi wanazo factor nyingi kuwazidi hao kama maarifa n.k

Mfano 1: Bill Gate alisoma shule zoote na kufaulu kwenda chuo kikuu maarufu zaidi ulimwenguni HARVARD UNIVERSITY na amesoma hapo chuoni 2yrs ndipo aka drop.

SWALI: je huyu ni msomi au sio msomi ni sawa na darasa la saba kweli?

kama ni kutokusoma na kutajirika kwa nini asome secondary, high school na strugle ya kushinda kwenga chuokikuu?

Mfano 2: Steve Jobs na yeye pia ni kama Bill gate alishinda kuingia chuo kikuu cha kwanza Reed College in Portland miezi 6 aka drop, bado akaendelea kutafuta chuo kingine ili kuendelea kuongeza maarifa akaingia De Anza College zaidi two semesters
SWALI: je huyu ni msomi au sio msomi ni sawa na darasa la saba kweli?

Kwa ufupi naomba atleast tuwatambue wasomi matajiri tulionao hapa kwetu na hata nje ya nchi.

1. Dr Reginald Mengi
2. Eng. Ally Mafuruki
3. Dr Mohammed Dewji
4.

Tafadhali ongeza na wa kwako tuendelee kuwatambua matajiri wenye degree
 
Wewe una akili za kiutumwa bro, yani hao wazungu umewaelezea kidogo hatua waliz pitia, lkn wabongo wenzio hujui historia zao wala hujaelezea hata kdogo, pia mifano yako ni michache haitoshi kuhitimisha hivyo, Fanya tafiti zaidi,
 
Hawaajiriki au hawatajiriki?

Heading vs Content.
 
WASOMI HAWATAJIRIKI Ndio kichwa cha habari, (kuna mtu alibadili HEADING)
 
Back
Top Bottom