Kuhusu usafiri ziwa Victoria

Herr muller

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2018
Posts
1,017
Reaction score
1,210
Kwanza kabisa natoa rambi rambi zangu kwa hao watu zaidi ya 224 waliofariki hapo mv nyerere ilipozama. Mimi kaa mtu ambae anajua mungu wa kweli wa bibilia ,

Sitaweza kamwe kusema hio ilikuwa kazi ya mungu, sitasema mungu kapeana na kachukua, wala kusema hio ilikuwa maamuzi ya mungu. Sababu ni hii, mungu akatuumba sisi kaa binadamu weye akili, na weye maamuzi huru, yani sisi kaa binadamu tuna uhuru wa kufanya maamuzi na pia kufanya decisions, sijui decisions ni nini na swahili,samahani,sasa ukiangalia ile ferry ina uwezo wa kubeba 100 abiria na 26t ya mizigo, lakini siku inapinduka ilikuwa imembeba more than 300 people na maybe more than 100tons of cargo.sasa swali kuu ni hili , kwanini wafanyya kazi waliruhusu iwe hivyo???????.

Ilikuwa ni wajibu wetu kaa binadamu kutoruhusu zaidi ya 100 people and not more than 25t of cargo, kwahivyo KOSA NI SISI BINADAMU, HIO SI WALA HAIKUWA MAPENZI YA MUNGU KUPOTEZE MAISHA YA HAO WATU. Sasa niko na swali kwa serikali ya tz, sababu inaonekana kaa hii kazi ya ferry services imewashida WHY NOT PRIVATISE THESE FERRY SERVICES????????

Yaani hii ferry ziwe za kampuni binafsi? na hio itakuwa ni bora na salama kabisa, sababu ni hizi, kwanza private company itakuwa iko na insurance kwa kila abiria na mizigo. na pia itakuwa na uendesaji wa hii usafiri kwa njia bora zaidi, na itahakikisa kuwa hizo ferry zinabeba vile inatakiwa, na hizo kamupuni zitakuwa zina fanya hata safari kadhaa kwa siku ile kupunguza msongamano wa watu kwa ferry moja au watanunua ferry kubwa, katika mataifa mengi waliosonga mbele kimaendeleo transport nyingi zinakuwa in private hands.ile kitu serikali itafanya ni i float tenders to , DESIGN, BUILD, OWN, OPERATE and MAINTAIN ferries hapo lake victoria na investors watajitokeza, na hizo companies zitakuwa zinalipa taxes, na pia zitatoa ajira, na pia kuleta kitu tunaita TRANSFER OF TECHNOLOGY tanzania, sijui munaona aje wakuu kwa hilo, maana serikali kweli imeshidwa na hio kazi,

Tusipoteze maisha ingine tena,machozi yanitoka hapa , zaidi ya binadamu 224 wameacha hii dunia , kwasababu ya UZEMBE WA SERIKALI NA WATUMISHI WAKE,

Nangoja maoni yenu wakuu, have a blessed week ahead
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…