Kuhusu usajili wa Kampuni nahitaji kueleweshwa jambo

jswanani

New Member
Joined
Oct 29, 2024
Posts
3
Reaction score
1
Tunahitaji kusajili kampuni tuiite ABC INC tukiwa na maana ya ABC INCORPORATED sasa swali ni je pale BRELA usajili huu utakubalika? Au ni mpaka kuwe na Limited mwishoni?

Swali 2: Ikiwa ABC INCORPORATION LIMITED kwenye document zetu za kiutendaji tunaweza kutumia ABC INC?

Nipo tayari kujifunza, naomba ushauri.
 
Swali 1: Kwa nnavyojua kisheria kampuni yotote Tanzania lazima iwe na neno "limited" kwa mbele.

Swali 2: sijaelewa unamaanisha nini ila Kama ni document official huwezi. Kwenye official doc Jina lazima liwe ni lile ulilosajiliwa na BRELA
 
Kasajili jina kwanza na nina wasiwasi na jina lako, kampuni zinazoitwa ABC tayari zipo (ipo) hivyo unaweza pewa majina mengine au wewe ujiandae na majina mbadala..after all all the best
 
Lazima liwe na neno limited kwa tanzania ,hio tumerithi sheria za uingereza kwa upande wa INC ni incorporated na inatumika USA sana .lakini yote yanamaana moja .

toa neno INCORPORATED maana ni sawa na LIMITED ukiweka INCORPORATED haitakubali na ukiweka yote hainamaana
 
Sina uelewa sana wa haya mambo, ila hapo kwenye jina mkuu hizo ABC lazima zitakuwa zishakuwa registered.
 
Swali 1: Kwa nnavyojua kisheria kampuni yotote Tanzania lazima iwe na neno "limited" kwa mbele.

Swali 2: sijaelewa unamaanisha nini ila Kama ni document official huwezi. Kwenye official doc Jina lazima liwe ni lile ulilosajiliwa na BRELA
Swali la pili nilikuwa namaanisha uwezekano wa kutumia kifupi.
 
Lazima liwe na neno limited kwa tanzania ,hio tumerithi sheria za uingereza kwa upande wa INC ni incorporated na inatumika USA sana .lakini yote yanamaana moja .

toa neno INCORPORATED maana ni sawa na LIMITED ukiweka INCORPORATED haitakubali na ukiweka yote hainamaana
Asante kwa ushauri mkuu, hii nimeelewa vizuri.
 
Back
Top Bottom