Swali 1: Kwa nnavyojua kisheria kampuni yotote Tanzania lazima iwe na neno "limited" kwa mbele.Tunahitaji kusajili kampuni tuiite ABC INC tukiwa na maana ya ABC INCORPORATED sasa swali ni je pale BRELA usajili huu utakubalika? Au ni mpaka kuwe na Limited mwishoni?
Swali 2: Ikiwa ABC INCORPORATION LIMITED kwenye document zetu za kiutendaji tunaweza kutumia ABC INC?
Nipo tayari kujifunza, naomba ushauri.
Swali la pili nilikuwa namaanisha uwezekano wa kutumia kifupi.Swali 1: Kwa nnavyojua kisheria kampuni yotote Tanzania lazima iwe na neno "limited" kwa mbele.
Swali 2: sijaelewa unamaanisha nini ila Kama ni document official huwezi. Kwenye official doc Jina lazima liwe ni lile ulilosajiliwa na BRELA
Asante kwa ushauri mkuu, hii nimeelewa vizuri.Lazima liwe na neno limited kwa tanzania ,hio tumerithi sheria za uingereza kwa upande wa INC ni incorporated na inatumika USA sana .lakini yote yanamaana moja .
toa neno INCORPORATED maana ni sawa na LIMITED ukiweka INCORPORATED haitakubali na ukiweka yote hainamaana