Goodluck Mchika
JF-Expert Member
- Jul 29, 2018
- 1,228
- 1,138
Mkuu upo sehem gani aiseh? Na decorder za FTA zenye powervu zinacost gharama kiasi gani hadi ufungaji?[/QUOTE
Mara Serengeti decorder kaulize ss tunachukua kenya]
Hakika mkuu, hao jamaa ni balaaaBein sport mwisho wa maneno, weka mbali na watoto,,,hakuna cha dstv wala nini wote hao ni takataka
Canal+ ndio mpango mzima
Uko sahihiNimeangalia wikipedia, ni ya france
Kumbe ni ya Makafiri Mimi nilidhani ni ya Wairan.Nimeangalia wikipedia, ni ya france
Hahah ni ya mabeberu hio
Sent from my iPhone using JamiiForums
mohamed caple bukoba nimeiona sana soka kupitia channel ya kiarabu na wala hakuna shidaninachofahamu mimi ni kuwa hawataki utumie chanel zao ,nenda bukoba kuna huduma ya cable mkoa mzima na inajulikana,kipindi cha nyuma alikuwa anatumia na supersport 3!!wakamkataza suku hizi anatumia chanel nyingine tu kuonyesha mpira na huo ugomvi uliisha!!!dar ndio sehemu ambayo watu wanapata tabu sana kuona ligi za ulaya lakini kwa mikoani kila jtu anayo nyumbani kwake kwa kupitia cable
Acha kutisha watu, nenda mikoani uone hizo huduma za cable mbona zipo tu na tcra wanawatambua, ambacho kinakatazwa ni hao watoa huduma za cable kuingiza chaneli za Supersport, kama s3, 4,5 na nyingine. Lakini hizo bein, haina shidaDstv kupitia super sport ndio wenye hatimiliki ya kuonyesha kandanda haswa epl na uefa barani Africa hususan Afrika mashariki na kusini mwa Afrika sasa wewe kutumia decoder ya Bein unavunja sheria na ukishikwa unapandishwa kizimbani...wanatoaga ofa kwa wambeya
Mkuu, napataje hii kitu?Canal+ ndio mpango mzima
Mkuu kwa sasa bado naweza nikapata hudumu ya being sports kwa Tanzania naishi Dar?Tatito sio king'amuzi cha bali signal za hao bein upatikanaji wake unaitaji dish kubwa lisilopungua 8ft na lnb yenye nguvu. Pili jinsi ya kulipa kwake itakubidi uwe na mtu either nchi za kiarabu au west Africa ili awe anakulipia, tatu huwa hawana malipo ya mwezi ni mwaka hivyo itakubidi decoder na malipo uwe na zaidi ya 500usd ukijumlisha na dish 8ft ni 350,000 +lnb 30,000 ukija na ufundi uwe umejipanga
mkuu kwa sasa bado hivi vingamuzi vinapatikana???Tatito sio king'amuzi cha bali signal za hao bein wake unaitaji dish kubwa lisilopungua 8ft na lnb yenye nguvu. Pili jinsi ya kulipa kwake itakubidi uwe na mtu either nchi za kiarabu au west Africa ili awe anakulipia, tatu huwa hawana malipo ya mwezi ni mwaka hivyo itakubidi decoder na malipo uwe na zaidi ya 500usd ukijumlisha na dish 8ft ni 350,000 +lnb 30,000 ukija na ufundi uwe umejipanga
Tatizo la hizi cables nyingi zina chenga na kukatika katika hovyo hovyo tu.inategemea na mkoa uliopo kwani kila mkoa kuna mtoa huduma tofauti kwa bukoba ni mohamedi ilikuwa 40,000 zamani ,na kila mwezi nadhani ni 15,000 ila ni burudani kwenda mbele tu hutakwenda ktena kwenye vibanda umiza kuangalia epl wala uefa.
Unawajua Kwesé?Dstv kupitia super sport ndio wenye hatimiliki ya kuonyesha kandanda haswa epl na uefa barani Africa hususan Afrika mashariki na kusini mwa Afrika sasa wewe kutumia decoder ya Bein unavunja sheria na ukishikwa unapandishwa kizimbani...wanatoaga ofa kwa wambeya