TZ boy JF-Expert Member Joined Jan 11, 2012 Posts 629 Reaction score 183 Apr 9, 2012 #1 Jamani napenda kuuliza hivi vyuo hutoa mtihani ambao hawakuchaguliwa direct hufanya ili kujiunga swali langu ni Je watakao faulu huo mtihani wanakuwa chini ya serikali au awanajitegemea.........
Jamani napenda kuuliza hivi vyuo hutoa mtihani ambao hawakuchaguliwa direct hufanya ili kujiunga swali langu ni Je watakao faulu huo mtihani wanakuwa chini ya serikali au awanajitegemea.........
King Kong III JF-Expert Member Joined Oct 15, 2010 Posts 56,205 Reaction score 79,515 Apr 9, 2012 #2 Chini ya serikali.
Boniface Evarist JF-Expert Member Joined Nov 26, 2010 Posts 1,147 Reaction score 513 Apr 9, 2012 #3 Serikali kama wale wa div. I n.k
TZ boy JF-Expert Member Joined Jan 11, 2012 Posts 629 Reaction score 183 Apr 9, 2012 Thread starter #4 Thanks xana wakubwa..'