Kuhusu wachezaji wa kigeni kupunguzwa

Kuhusu wachezaji wa kigeni kupunguzwa

Tajiri wa upendo OG

Senior Member
Joined
Mar 15, 2020
Posts
171
Reaction score
237
Timu zenye wachezaji wazawa katika ligi yetu ni nyingi kuliko timu zenye wachezaji hao wakigeni lakini timu zenye wazawa hazifanyi maajabu yeyote yale katika ligi kuu. Mchezaji watanzania anashindwa kugombaniana namba na mchezaji kutoka Kenya, Uganda, Rwanda, Msumbiji, Burundi kweli mchezaji huyu ndio tunamuandaa kwenda kucheza Ulaya?

Hii hoja ya kupunguza wachezaji ipo dhaifu sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom