Timu zenye wachezaji wazawa katika ligi yetu ni nyingi kuliko timu zenye wachezaji hao wakigeni lakini timu zenye wazawa hazifanyi maajabu yeyote yale katika ligi kuu. Mchezaji watanzania anashindwa kugombaniana namba na mchezaji kutoka Kenya, Uganda, Rwanda, Msumbiji, Burundi kweli mchezaji huyu ndio tunamuandaa kwenda kucheza Ulaya?