twende kazi
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 1,520
- 461
Wakuu natumai mpo vema,
Samahani naomba wale mabingwa wa mambo ya kijeshi nakijasusi wanidokeze kidogo kama hapa nchini kwetu tuna utaratibu wa kuwachukuamajambazi katili walenga shabaha maridadi waliotiwa hatiani na kupelekwa katikaoperesheni mbali mbali za kijeshi kusaidia taifa mfano zile za Sudani,Comoro naCongo.
Au hawa viumbe mashababi(wafungwa majambazi) wanakula donala bure tu gerezani?