twende kazi
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 1,520
- 461
Haiwekani unazani mtu akiweza kutumia silaha/bunduki, anavaa kuwa mwanajeshi? la hasha jeshi ni kitu kingine mkuu. Linahitaji mafunzo maalum, utimimamu wa mwili mbinu za medani ili kuweza kupmbana mtu ambae nae amejiandaa kupambana, ana silaha kama zako ama zaidi. hawa majambazi wanachofanya ni kupambana na watu ambao hawajajiandaa/ kushutukiza hawana ujanja wa kivita.