Pagan Amum
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 1,930
- 4,412
Naambiwa kati ya uliowaona wameshafariki, covid.Hawa Walinzi wa Aliyekuwa Rais wa JMT Hayati John Pombe Magufuli wamefanya kazi ya kutukuka. Wamefanya kazi kwa ueledi na ufanisi Mkubwa. Leo mpendwa wao na boss wao katutoka...
Kwa namna walivyofanya kazi tunaomba uendelee nao ama waende kwa Makamu wa Rais ajaye. Tuwape fursa zaidi kwa kazi walioimudu kuliko kuwarudisha Makumbisho PSU. Kuna yule Black, Yule wa Sigda kichwani na moja hivi mwembamba mrefu anapigaga miwani.
Kwa yule ADC basi naye akirudi jeshini kama kawaida umpe Ubigredia kama watangulizi wake. hawa ni mashujaa wetu na wamepata maumivu makubwa mno kutokana na hiki kifo. Mungu awape faraja ya milele
Wote jana walikuwepo!Naambiwa kati ya uliowaona wameshafariki, covid.
Hawa Walinzi wa Aliyekuwa Rais wa JMT Hayati John Pombe Magufuli wamefanya kazi ya kutukuka. Wamefanya kazi kwa ueledi na ufanisi Mkubwa. Leo mpendwa wao na boss wao katutoka...
Kwa namna walivyofanya kazi tunaomba uendelee nao ama waende kwa Makamu wa Rais ajaye. Tuwape fursa zaidi kwa kazi walioimudu kuliko kuwarudisha Makumbisho PSU. Kuna yule Black, Yule wa Sigda kichwani na moja hivi mwembamba mrefu anapigaga miwani.
Kwa yule ADC basi naye akirudi jeshini kama kawaida umpe Ubigredia kama watangulizi wake. hawa ni mashujaa wetu na wamepata maumivu makubwa mno kutokana na hiki kifo. Mungu awape faraja ya milele
Hao walinzi wakamatwe na kufungwa maisha. Wamefanya kazi gani kama rais anafariki na walikuwa na resources zote za kumwokoa?Hawa Walinzi wa Aliyekuwa Rais wa JMT Hayati John Pombe Magufuli wamefanya kazi ya kutukuka. Wamefanya kazi kwa ueledi na ufanisi Mkubwa. Leo mpendwa wao na boss wao katutoka...
Kwa namna walivyofanya kazi tunaomba uendelee nao ama waende kwa Makamu wa Rais ajaye. Tuwape fursa zaidi kwa kazi walioimudu kuliko kuwarudisha Makumbisho PSU. Kuna yule Black, Yule wa Sigda kichwani na moja hivi mwembamba mrefu anapigaga miwani.
Kwa yule ADC basi naye akirudi jeshini kama kawaida umpe Ubigredia kama watangulizi wake. hawa ni mashujaa wetu na wamepata maumivu makubwa mno kutokana na hiki kifo. Mungu awape faraja ya milele
YAANA UNAWAFUNDISHA KAZI WANAOJUA KAZI YAO....Mbana wako wengi wazuri zaidi ya hao uliowataja.Hawa Walinzi wa Aliyekuwa Rais wa JMT Hayati John Pombe Magufuli wamefanya kazi ya kutukuka. Wamefanya kazi kwa ueledi na ufanisi Mkubwa. Leo mpendwa wao na boss wao katutoka...
Kwa namna walivyofanya kazi tunaomba uendelee nao ama waende kwa Makamu wa Rais ajaye. Tuwape fursa zaidi kwa kazi walioimudu kuliko kuwarudisha Makumbisho PSU. Kuna yule Black, Yule wa Sigda kichwani na moja hivi mwembamba mrefu anapigaga miwani.
Kwa yule ADC basi naye akirudi jeshini kama kawaida umpe Ubigredia kama watangulizi wake. hawa ni mashujaa wetu na wamepata maumivu makubwa mno kutokana na hiki kifo. Mungu awape faraja ya milele
Safi sana umecha ule ujinga wa kuandika kibwagizo cha "maendeleo hayana chama"Wote jana walikuwepo!
Hakuna kosa kubwa kama hilo la kuendelea kutumia walinzi wa mtanguliz wakoHawa Walinzi wa Aliyekuwa Rais wa JMT Hayati John Pombe Magufuli wamefanya kazi ya kutukuka. Wamefanya kazi kwa ueledi na ufanisi Mkubwa. Leo mpendwa wao na boss wao katutoka...
Kwa namna walivyofanya kazi tunaomba uendelee nao ama waende kwa Makamu wa Rais ajaye. Tuwape fursa zaidi kwa kazi walioimudu kuliko kuwarudisha Makumbisho PSU. Kuna yule Black, Yule wa Sigda kichwani na moja hivi mwembamba mrefu anapigaga miwani.
Kwa yule ADC basi naye akirudi jeshini kama kawaida umpe Ubigredia kama watangulizi wake. hawa ni mashujaa wetu na wamepata maumivu makubwa mno kutokana na hiki kifo. Mungu awape faraja ya milele
Hahahaaaa msamehe ,wamevurugwa hawaamini kilichotokea yaani kama wamepigwa shoti...Mitano Tena.Safi sana umecha ule ujinga wakuandika kibwagizo cha "maendeleo hayana chama"
We jamaa nimecheka mno hii comment yako. Kunywa soda huko ulikoHao walinzi wakamatwe na kufungwa maisha. Wamefanya kazi gani kama rais anafariki na walikuwa na resources zote za kumwokoa?
Wame prove failure bure kabisa hao
Naambiwa kati ya uliowaona wameshafariki, covid.
Mbona jana walikuwepo ktk misa ya kumuombea mtukufuNaambiwa kati ya uliowaona wameshafariki, covid.
Leo Jumapili!Safi sana umecha ule ujinga wakuandika kibwagizo cha "maendeleo hayana chama"