Kuhusu walinzi wa Hayati Magufuli, Ombi kwako Rais Mama Samia Suluhu

Naambiwa kati ya uliowaona wameshafariki, covid.

Mkuu ukiwa unaamini kila unalolisikia utapoteza heshima uliyonayo hapa jukwaani. Kuna mambo mengine unanyamaza tu Jemedari.

Nilichokishuhudia ni kwamba, jamaa wameendelea kujipanga kikazi vile vile kama walivyokua wanamlinda Rais alipokua hai.

Wale wa JMK aliondoka nao, wawili nnaowakumbuka bado yuko nao hadi sasa.
PSU watajua namna ya kuwapangia majukumu mapya.

Tuendelee kuomboleza
 
Rais hana walinzi wanne tu. Rais ana walinzi wengi sana, ukiangalia picha au video kwenye misafara na shughuli zaRaisi utaona.
 
Kama ni ndugu zako basi imetosha hakuna permanent job isipokuwa kazi yako tu kama wamekutuma basi waambie walokuwa wakimlinda hayupo tena labda wakalinde kaburi tena washukuiru miaka ya zamani akifa boss wako na weye unamsindika mpaka kaburini yaani unakwenda nae .Yaani weye Pagan nakushangaa sana unataka waendelee sio Duhhhh nafikiri wamekutuma au ndugu zako unataka kujua JF wanasemajee basi umechelewa samba.
 
Watanzania tunauelewa mdogo mnooo (sanaaa) kuhusu ulinzi wa raisi.....

Mleta mada jaribu kufuatilia hao ni kina nani na wanakazi gani, je ni nani anewapangia hiyo kazi (maelekezo/boss wao), wanawajibika kwa nani, muajiri wao ni nani, zone yao ni ipi ktk ulinzi wa raisi, je wapo wenyewe, wenzao ni kina nani..... Tofauti na kazi yao pale JUKUMU LAO LA MSINGI NI LIPI (Uelewe hapa penyee maandishi makubwa)

Mwisho rejea JARIBU KUFUATILIA NA USICHOKE UFUATILIE UTAENJOY


NAMAANISHA WALE WALINZI NA SIO MPAMBE.
 
Jamani msimshambulie mtoa mada.

Naamini amesukumwa na utu pamoja na huruma.

Na mimi namuunga mkono, hawa jamaa walikuwa ni exceptionally excellent. Kama inawezekana warudishwe.

Na wale majamaa wa magwanda ya jeshi sijui la wapi, nao wako vizuri mno.
 
Ahaa kumbe ndo nyie, mlikua mnavaa magajets kama Rambo-Shoziniga-komando kipens 😂🤣🤣 maamae rudini camp mkakae gadi
 
Aah naona mmekuja JF kujipigia debe. Komaeni wanangu kwa mama samia hamtotoboa. Imeisha hiyo.
 
Mtu akishaitwa "usalama wa taifa" usimuamini 100% wala kumuonea huruma.
 
Wapimwe Covid wote kwanza na kusaidiwa waiwahi kama wanayo.
 
Mama aagize mabaunsa wake kutoka Visiwani
 
Hawa wanahusika moja kwa moja kumpa taarifa kigogo wapigwe benchi kwanza.
 
Pamoja mkuu.
Mtandao nilimopata habari nimefuatilia kanusho.
 
Hawa watu isiwe nao wasiwasi. Wanaingia majukumu kama kawaida.
 
Kumlinda rais ni kazi ngumu sana nawambia wanangu wengine pale nwatakuwa wanaomba wapewe kazi zingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…