Kuhusu walinzi wa Hayati Magufuli, Ombi kwako Rais Mama Samia Suluhu

Excellent kwa kipimo kipi? Na kwa kuwalinganisha na wepi?
 
Hao hua wanachukuliwa kwenye kazi zao...
Ikitokea kama hivi hua wanarudi kwenye kazi zao haimaanishi ndiyo wamekosa kazi za kufanya...

Usishangae hata mkakutana chuo kama mwanafunzi mwenzio kumbe mwenzako yupo kwenye special mission hapo...
 
Mijitu mingine mishamba kweli kweli. Imetoka mbugani huku ikiona walinzi wa rais au wanajeshi kwa mara ya kwanza inapagawa. Kuna utaratibu maalum unafuatwa na siyo ujinga ulioandika hapa. Idiot!
 
Hizi kazi so za kurithishana,Acha na wengine wapate fursa izo waoneshe uwezo wao
 
Rais Samia yeye kashapewa wake tayari.Labda wachache apewe makamu wa rais ajaye...
 
Umeanza kujipigia cross! Haya kila la kheri!
 
Huu sasa ni uboya.
Kama makumi elfu ya vijana wa JKT wako mtaani na hali bado shwari hata hawa wakirudi walikotoka hali itakuwa shwari.
Wewe nani uwapangie watu?
Vipi mchakato wa kupandishwa stahiki zako umeanza?maana ulilalamika sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…