Kuhusu wanawake jamani!

Emma.

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2012
Posts
19,932
Reaction score
5,563
Wanawake wanaumiza ktk uhusiano unampa kila anachohitaji but anaenda kwa mwingine acheni tamaa jamani?
 
wanaume hawaumizi? Kama alivyokwambia mdau hapo juu, chagua mwenza kwa hekima.
 
unaposema unampa kila ktu unamaanisha nini?
 
Ukisema 'wanawake' unakosea sema 'mwanamke wangu kaniumiza, nimempa kila anachihitraji but kaenda kwa mwingine'
 
ukimpa kila kitu hawezi kutoka chief, usijidanganye au kama unamaanisha kumpa hela na vitu vingine kama hivo...!!, mwanamke anaetoka anatafuta kipigwa mashine vizuri mkuu,,, tafakari
 
Wanawake wanaumiza ktk uhusiano unampa kila anachohitaji but anaenda kwa mwingine acheni tamaa jamani?

Tatizo lako unapenda masista duu ndo mana wanaku du bad, poleee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…