Schoolbook
Member
- Aug 31, 2011
- 27
- 5
Mh!Ya kweli hayo mkuu?leo nilifungua web yao mida ya saa sita hivi,nikaona new loan allocation for first year students ambao hawakupata mkopo maeneo ya ale kwenye results allocation tena ilikuwa mwanzo sasa baada ya ku click kujua hiyo list nikambiwa error 404 so nikajua kuna data bado wa feed so wadogo zetu watapata mkopo tu hilo sina shaka kwani nimeona na nimesoma kwa macho yangu.,so kuna batch nyingine
Mh!Ya kweli hayo mkuu?
Itakuwa vyema km wataallocate aise maana hapa akili inanichemka ishu ya mdogo wangu kukosa mkopo.
Maana hapa dogo hata mimi chuo hajaripoti,vichwa vinatuuma!But nikiifungua sasa hivi naona hamna jipya kwenye web yao heslb!