Wordsworth
JF-Expert Member
- Jan 14, 2019
- 1,191
- 3,360
- Thread starter
-
- #21
Ndio director ndo kila kitu na yeye ndio mwenye vision. Ila wamejitahidi haya makosa ni rahisi kurekebisha. Labda tutaona improvements muda unavyozidi kwenda.Yeahh..to some extent ππ
When you put it like that...I agree!
There is still a lot to be done in that department. Haswa upande wa Director maana yeye ndo anaweza ku-influence how an actor delivers his/her lines. Ubaya ni kwamba Director ndo anaweza kuwa na hiyo weakness and he is rubbing it off on his/her actors akidhani ndo sahihi.
Mimi sio mdau kama unavyonifikiria bali ni mdau kama hadhira.Inaonekana wewe ni mdau WA hii industry
Ukiwa na kazi zako tuletee tuone
Unaandika vitabu?Mimi sio mdau kama unavyonifikiria bali ni mdau kama hadhira.
YesUnaandika vitabu?
Kama huta mind
Sorry ninalinda anonymity yangu kwa hali na mali. Hata inbox siwezi kukuambia.Kama huta mind
Untajie vitabu vyako hata inbox kama hapa hauko ready
It's OK..Sorry ninalinda anonymity yangu kwa hali na mali. Hata inbox siwezi kukuambia.
Hata usijali sina shida.It's OK..
Ungetangaza uongeze soko??
Wordsworth nitajie hiyo page ya Instagram inayorusha hiyo series nikajioneeTubadilike haraka sana kwasababu tumeshaachwa nyuma mno.
@maxriobaWordsworth nitajie hiyo page ya Instagram inayorusha hiyo series nikajionee
Asante Sana.@maxrioba