nundaz
JF-Expert Member
- Jun 8, 2012
- 272
- 193
Heshima kwenu wana jamvi.
Kama mnavyojua kuwa jumapili iliyopita serikali kupitia wizara ya TAMISEMI ilitangaza ajira kwa walimu.lakini kuna watu waliokosa ajira.
Mwanzo wa wiki hii kuna watu walikwenda wizarani na kuandika majina yao na vyuo walivyosoma.
Kuna mtu alinishtua kuwa majina mengine yatawekwa kati ya jana na leo jumatano.
Lakini leo tangu asubuhi webisite ya tamisemi anafunguka lakini inaandika LOADING 4%.swali langu ni kuwa webisite ikiandika hivi inakuwa anamaanisha kuwa majina wanayaapload au nini kinaendelea hapo kwenye website ya TAMISEMI?