Kuhusu website ya TAMISEMI

nundaz

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2012
Posts
272
Reaction score
193
Heshima kwenu wana jamvi.

Kama mnavyojua kuwa jumapili iliyopita serikali kupitia wizara ya TAMISEMI ilitangaza ajira kwa walimu.lakini kuna watu waliokosa ajira.

Mwanzo wa wiki hii kuna watu walikwenda wizarani na kuandika majina yao na vyuo walivyosoma.

Kuna mtu alinishtua kuwa majina mengine yatawekwa kati ya jana na leo jumatano.

Lakini leo tangu asubuhi webisite ya tamisemi anafunguka lakini inaandika LOADING 4%.swali langu ni kuwa webisite ikiandika hivi inakuwa anamaanisha kuwa majina wanayaapload au nini kinaendelea hapo kwenye website ya TAMISEMI?
 
jamani mi pia ni mmojawapo kati ya hao wahanga na nilienda mpaka dodoma kwenye ofisi za tamisemi wakadai kua taarifa zetu hazikutumwa tukaandika upya na tulikuwa wengi balaa wakatuahidi kwanzia jumatano ya wiki hii mpaka kabla ya tarehe moja mambo yatakuwa tayari! ngoja tusubiri> Hivi website ya tamisemi ni ipi? kwa anayefaham naomba anisaidie
 
atamie ni muhanga awa tamisemi nashindwa kuwaelewa lini watatoa ayo majina coz walisema week hii wangeachia ayo majina yetu mwenye taarifa zaidi atujuze
 

Tembelea www.pmoralg.go.tz
Ndo site ya Tamisemi
Mbona inafunguka alafu haina mpya?
Duh, poleni sana.
 
mungu wangu!hawa majamaa cjui wanatutakaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…