kuhusu wenye sap walipangiwa ualimu.

Seaman88

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2012
Posts
417
Reaction score
156
nauliza ivi, kna walimu wapya wa shahada amepangw vituo vya kaz na wanasap kwenye masomo yao vip inakuaje wakati wanaripoti? Naomba kujua kwa mwenye ufahamu wa hili.
 
Result Script hutapewa chuoni na ukifika watakudai
 
Serikali yetu ni sikivu mwambie akusanye madaftari yote ya notes ya chuo, pia awe na prospectus na pepa zake za tests zilizo sahihishwa ataajiriwa bila shaka maana atakuwa na genuine documents. Si razima cheti maana tunachohitaji ni vitu alivyo navyo kwa kichwa. Hiyo ndiyo BRN aondoe kihoro atapata ajira akikusanya hiyo vitu na kumfika mkurugenzi wa wilaya husika. Au revoir mon ami.
 
Utaripoti kwenye kituo chako cha kazi utafanya kazi ila utaandika barua ya kurudi kuchomoa Supp yako!
 
nauliza ivi, kna walimu wapya wa shahada amepangw vituo vya kaz na wanasap kwenye masomo yao vip inakuaje wakati wanaripoti? Naomba kujua kwa mwenye ufahamu wa hili.

Hivi supplimentary huwa inafanyika wakati gani baada ya kumaliza mitihani yako ya mwisho chuoni? Umekusudia supp ama carry over? Kama sikosei supp hufanyika ndani ya mwaka husika baada ya semister ya mwisho,wewe umehitimu mwaka gani na ajira umepangwa mwaka gani? Hebu fafanua hapo kidogo i.e supp/carry?
 
inawezekana ni wadiploma wenyewe ukiwa na sup kusapua ni mpaka mwaka upite yaan unafanya mtihan na uliowaacha. ni kama wa degree mwenye carry over
 
Nimemaliza chuo kikuu udsm ila sijui supp, naomba mnijuze mbona wengine hatukugawiwa hiyo au ndo kw kujuana.
 
Akiongea na wahitimu wa Chuo cha ualimu kwenye mahafali yao , Naibu waziri wa elimu Mh. Philipo Mulugo alisisitiza "Supplimentary ni somo kama masomo mengine, ni lazima ufaulu, acheni kudharau baadhi ya masomo".
 
Nimemaliza chuo kikuu udsm ila sijui supp, naomba mnijuze mbona wengine hatukugawiwa hiyo au ndo kw kujuana.

Nenda kadai mkuu, ni haki yako. Tena udai na September conference kabisa. Ukiona wanakuzingua kachukue kwa nguvu mle ATB au room21 kule engineering.
 
Nimemaliza chuo kikuu udsm ila sijui supp, naomba mnijuze mbona wengine hatukugawiwa hiyo au ndo kw kujuana.

We noma na lazima utakua na akili nyingi kama einstern au newton na inawezekana uwewazid.. I mean wewe ni genius. Unajisikiaje mpenda sifa.?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…