Vizuri kiasi gani,si useme unamuogopa nani hapa?nenda awanalipa vzr tu na commision
yani hiyo ni interview tu umewehuka hivyo😒 mko 400 mloitwa kua mpoleVizuri kiasi gani,si useme unamuogopa nani hapa?
KUANZIA hapa Usha disqualify, huna confidence ni mtu wa kugive up. Utadondosha na kulitia hasara kampuniWadau nilifanya maombi ya kazi nafasi ya marketing & sales kwenye kampuni tajwa hapo juu na interview nimetumiwa meseji itakuwa tar 25 saa 9 mchana.
Sasa ombi langu kama kuna mtu anafanya kazi kwenye iyo kampuni au aliwahi au anaifahamu iyo kampuni anipe mwanga kidogo kuhusu salary zao, pia kama niende au nipotezee maana interview nyingi watu tumekuwa tunaitwa kukamilisha sheria za ajira kwa kampuni na wanapewa job watu wasiostahiri kupitia connection.
Interview wamesema itafanyika tegeta Skanska kwenye ofisi za M-GAS au KOPA GAS
Ha ha ha,ila jf kuna makavu humuyani hiyo ni interview tu umewehuka hivyo😒 mko 400 mloitwa kua mpole
Tumebadilisha muda interview itafanyika saaa mbili asubuhi Asante[emoji23]Wadau nilifanya maombi ya kazi nafasi ya marketing & sales kwenye kampuni tajwa hapo juu na interview nimetumiwa meseji itakuwa tar 25 saa 9 mchana.
Sasa ombi langu kama kuna mtu anafanya kazi kwenye iyo kampuni au aliwahi au anaifahamu iyo kampuni anipe mwanga kidogo kuhusu salary zao, pia kama niende au nipotezee maana interview nyingi watu tumekuwa tunaitwa kukamilisha sheria za ajira kwa kampuni na wanapewa job watu wasiostahiri kupitia connection.
Interview wamesema itafanyika tegeta Skanska kwenye ofisi za M-GAS au KOPA GAS
Uulizwe nini sasa?HR Tanzania
Kikundi hiki cha HR ni jukwaa la kushiriki Kazi za Sasa, Habari za Ajira kwa watu wa Tanzania. Kanuni:- 1) Hakuna Barua taka & matusi na Ujumbe wa matusi kwa kila mmoja.🚫 2) Hakuna Messages za watu wazima🔞❌ 3) Hakuna tangazo la Cryptot.me
uliza na uku