Dopodopo Kadopo
Senior Member
- Jul 23, 2012
- 120
- 19
Wadau hili si zoezi endelevu kwa sababu kila siku iendayo kwa mungu kuna raia wanapata sifa ya kupata vitambulisho i.e wanafikisha umri wa miaka 18 na kuna wachina wanaingia kama wawekezaji. Kulikoni kuweka muda wa ukomo wa kujiandikisha?
haya sasa yatakuwa makubwa, kwanini kwa wazawa visingekuwa vya kudumu kama vya mpiga kura without expiring date? aah lkn nilisahau sasa vikiwa vya kudumu unajua kaulaji nacho katapungua so ni lazima viexpaye then tutengeneze vingine.Wakuu nimeona kwenye specimen ya kitambulisho cha Taifa kikiwa na 'Expiry date' hatakwa vile vitakavyotolewa kwa wazawa. Kama hivindivyo itakavyo kuwa watanzania wote uraia wao unaexpire hata kama hajaukana?
Hujaelewa, muda wa ukomo ni kwa sasa, wakishapita nchi nzima utaratibu huo utakua endelevu, ukisema wakae dar tu watu hawataisha maana naamin kila siku watu wanatimiza miaka kadhaa sasa wakifanya kusubiri hawatapiga hatua yeyote, chamsingi wanapita nchi nzima yaani kila mkoa baada ya hapo zoezi litakua linaendelea.
Expired date nilazima kwa sababu watu wanakua na kubadilika hivyo kuweka muda ni sahihi kabisahaya sasa yatakuwa makubwa, kwanini kwa wazawa visingekuwa vya kudumu kama vya mpiga kura without expiring date? aah lkn nilisahau sasa vikiwa vya kudumu unajua kaulaji nacho katapungua so ni lazima viexpaye then tutengeneze vingine.
Expired date nilazima kwa sababu watu wanakua na kubadilika hivyo kuweka muda ni sahihi kabisa
sasa mtu akikua ndio anaexpire kuwa raia? nieleweshe kidogo.
.Yaani nina maana watu wanabadilika sura na status zinaweza zikawa zimebadilika.Kwa mfano kama mtu wa miaka 18 anajiregister sasa miaka kumi na tano sura yake imebadilika kabisa na kama ni mwanamke si ajabu akawa ameolewa na kutaka kubadili status yake au ku apdate majina yake au hata status ya uraia wake ukawa tofauti