Pung'o boy
JF-Expert Member
- Aug 1, 2013
- 685
- 305
Naomba kujuzwa taratibu za kuingiza contena la tiles charges ziko vip import duties,tbs na kodi zingite zinakatwa vipi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shukrani sana tayari nilishapata nilienda tra gharama ni kama 50% ya FOB price maana ilikua ni kazi ya uagent mzigo ulikua unakuja free hadi bandarini.Mkuu nadhani tiles zinapishana bei. Ni sawa ukianza kuuliza import duty za gari, bila kutaja aina ya gari na specifications zake pamoja na CIF yake.