Pung'o boy JF-Expert Member Joined Aug 1, 2013 Posts 685 Reaction score 305 Mar 9, 2016 #1 Naomba kujuzwa taratibu za kuingiza contena la tiles charges ziko vip import duties,tbs na kodi zingite zinakatwa vipi
Naomba kujuzwa taratibu za kuingiza contena la tiles charges ziko vip import duties,tbs na kodi zingite zinakatwa vipi
Ozzanne Issakwisa JF-Expert Member Joined Mar 7, 2016 Posts 288 Reaction score 241 Mar 9, 2016 #2 Mkuu nadhani tiles zinapishana bei. Ni sawa ukianza kuuliza import duty za gari, bila kutaja aina ya gari na specifications zake pamoja na CIF yake.
Mkuu nadhani tiles zinapishana bei. Ni sawa ukianza kuuliza import duty za gari, bila kutaja aina ya gari na specifications zake pamoja na CIF yake.
Pung'o boy JF-Expert Member Joined Aug 1, 2013 Posts 685 Reaction score 305 May 10, 2016 Thread starter #3 Ozzanne Issakwisa said: Mkuu nadhani tiles zinapishana bei. Ni sawa ukianza kuuliza import duty za gari, bila kutaja aina ya gari na specifications zake pamoja na CIF yake. Click to expand... Shukrani sana tayari nilishapata nilienda tra gharama ni kama 50% ya FOB price maana ilikua ni kazi ya uagent mzigo ulikua unakuja free hadi bandarini.
Ozzanne Issakwisa said: Mkuu nadhani tiles zinapishana bei. Ni sawa ukianza kuuliza import duty za gari, bila kutaja aina ya gari na specifications zake pamoja na CIF yake. Click to expand... Shukrani sana tayari nilishapata nilienda tra gharama ni kama 50% ya FOB price maana ilikua ni kazi ya uagent mzigo ulikua unakuja free hadi bandarini.