elimuplatform
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 1,054
- 462
Unywaji wa pombe kupita kiasi ni hatari kwa afya yako. Hivi imekaaje umeibiwa simu bar baada ya kuwa umezidiwa na kiraji na kusinzia, ila ulienda na kasichana ambacho hukafahamu vizuri, mashuhuda wanasema baada ya kuwa kamekuamsha kakasepa na simu smart kama kukukomoa na kujilipa, Japo wewe uliamshwa na such za mlinzi, sasa je katika situation kama hiyo kuna haja ya kukimbizana na kufunguwa mashtaka na mshukiwa utamtaja yupi, au ni kupotezea tu na kujifunza umakini zaidi siku nyingine, ushauri tafadhali ukizingatia simu ya gharama kidogo