Kuibiwa kusikie tu

Kuibiwa kusikie tu

Siku ya jana niliibiwa pesa ndani ya daladala kiasi cha 350000 yani usiku mzima nimekosa usingizi. Hapa nilipo kichwa kinauma hatari 😭😭
Pole mkuu, nilipigwa 1.2 (pesa mingi) mwaka 98 za boss ilikua nimpe mchana.
kijinga tu na vibaka hapo migo kanisani sa 11 asubuhi sitasahau.
Swali najiuliza mpk leo kwanini sikuchukua taxi.
Ila niliwapata wote na tuliwafanya kitu mbaya hela sikuipata.
 
Back
Top Bottom