Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,138
- 288,731
Kukata tamaa ndio niniDuh mmekata tamaa sana🤔
Kumwachia Mungu ni kukataa tamaaKukata tamaa ndio nini
Unaikumbuka fimbo ya Musa?Kumwachia Mungu ni kukataa tamaa
AmenSALA na ibada zetu ziongeze kuombea nchi yetu ipate viongozi nwema, sahihi na waqcha Mungu wa kweli. Tuogope sana kuwa na viongozi wanaoabudu Miungu kama ile ya kina Eipsten. Makafara yao ni kuwabagaza watoto wadogo na kula nyama zao.
Eti wana harness nguvu according to their deity, Baal.
Ni lazima kisasi kilipweWatu 10,000+, ni wengi sana
HakikaNi lazima kisasi kilipwe
NaamHakika
Wewe ni mpuuzi tu! Kila siku JPM! Wivu umekujaaTunamshukuru Mungu kwa yote yaliyotokea kwa Nchi yetu kwa Mwezi ule wa 3 miaka kadhaa iliyopita.
Bado tunaamini atatenda tena kwa njia zake, Maana Mungu haishiwi mipango.
Tuna amini kwamba kilichomkuta Dikteta Jiwe kitawakuta hata Hawa Madikteta Wapya, Mungu hataniwi, Huwezi kuua maelfu ambao hata huko Iran Pamoja n.a. makombora yote lakini hawajauawa idadi hiyo