chizcom
JF-Expert Member
- Jul 31, 2016
- 8,680
- 18,035
Leo nimepata kukusanya japo kidogo na kuunganisha kwa nini kuna makundi au vikundi baadae huja kuwa tishio au kuondoa tawala kabisa.
Suala la kuibuka kwa makundi au vikundi kuna mawili ambayo yanafanya kuibuka.
Makundi haya yanaweza kuwa ya chanya au hasi.
Sababu ya kuibuka makundi:
Sababu hizi ndizo zimepelekea kupata makundi yenye nguvu kali na mpaka leo tunaona kwenye historia na matukio ya leo.
Mfano: Kipindi cha ujerumani na kundi la NAZI.
Mfano 2: Kundi la mafia lilotikisa ulaya mpaka kuwa tishio marekani.
Mfano 3: Somalia, ethiopia, Sudani, Syria, Bosnia, Yugosilavia, Lebanon, Congo na n.k haya yote kwa sababu utawala mbovu.
Hili ni somo kwetu kwa nchi yetu!
japo siwezi taja ila sasa tunaweza kuwa na vijikundi au makundi ambayo mnaweza kueleza.

- Ukosefu wa haki na ukandamizi
- Ubaguzi
- Utawala wa mabavu
- Utawala legelege
- Utawala mbovu