Kuibuka kwa vikundi vya uombolezaji, je ni ubunifu ajira au ufinyu wa fikra?

Kuibuka kwa vikundi vya uombolezaji, je ni ubunifu ajira au ufinyu wa fikra?

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
76,107
Reaction score
160,001
Kila kukicha vikundi vya kukodi kwenda kuomboleza misibani vimekuwa vikiongezeka kwa kasi jijini Dar es Salaam. Je huu ni ubunifu wa ajira au ni ufinyu wa fikra?
 
Ni Ubunifu wa ajira, wameona kuwa baadhi ya watu wanahitaji huduma LILIWA.......so ukizingatia siku hizi watu wako busy kiasi, unaweza kukosa watu wa kuhudhuria misiba, sasa nadhani wana soko kwa bidhaa yao hii, Siamini kama ni ufinyu wa fikra...........Jaribu kulitazama na jicho chanya........
 
Ni ubunifu tulichelewa Kuanza; Nilitembelea Botswana miaka ya 90 walishaanza huko kuwa na hiyo ajira
 
wameiga kenya hiyo kwa waluo wa kenya ni common!!!
 
Hiyo ni Entrepreneurship Spirit mtu wangu wala siyo kutafuta ajira! Watu wanaoona opportunity hao!
 
Back
Top Bottom