Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Teh Teh kuna siku ulisema una subiri amtumbue aliye mteua na hili likipita utasema tena...Una maanisha mtumbua majipu au ?.Mimi nilimsikia Membe akitoa maoni yake kuhusiana na Dr Majipu nikasema ngoja nisubiri muda utasema yote bado nasubiri mwisho wa hili sakata.
Kwa tuhuma hizi nzito nilitarajia kusikia watu fulani wamesimamishwa au teuzi zao zimetenguliwa ila cha ajabu bado wako ofisini alafu tunaambiwa tumempata Sokoine!!!Una maanisha mtumbua majipu au ?.Mimi nilimsikia Membe akitoa maoni yake kuhusiana na Dr Majipu nikasema ngoja nisubiri muda utasema yote bado nasubiri mwisho wa hili sakata.
Teh Teh kuna siku ulisema una subiri amtumbue aliye mteua na hili likipita utasema tena...
Bawacha mmeshakuwa kama watoto Yatima ni kulialia tuu.
Inawezekana alifanya hivyo baada ya kelele kuzidi ila bado kuna wengine wanadunda.Teh Teh kuna siku ulisema una subiri amtumbue aliye mteua na hili likipita utasema tena...
Bawacha mmeshakuwa kama watoto Yatima ni kulialia tuu.
Kasi ya kumtimua Mama Kilango ilifurahisha lakini Ligumi mhaaa haaa ha aaa eti Tanzania tumempata Sokoine wetu hata 2% bado hajamfikia.Kwa tuhuma hizi nzito nilitarajia kusikia watu fulani wamesimamishwa au teuzi zao zimetenguliwa ila cha ajabu bado wako ofisini alafu tunaambiwa tumempata Sokoine!!!
Hivi wakisimamishwa bila uchunguzi wewe si utakuja hapa kuanza kusema kuwa wanaonewa? Hivi mmejisahau huwa mnasema serikali ina kurupuka? Leo hii mnataka watu wasimanishwe kazi hata niki kuuliza nani asimamishwe na kwasababu gani hujui!Kwa tuhuma hizi nzito nilitarajia kusikia watu fulani wamesimamishwa au teuzi zao zimetenguliwa ila cha ajabu bado wako ofisini alafu tunaambiwa tumempata Sokoine!!!
Iigumi ni lingumu sio mchezo....Kasi ya kumtimua Mama Kilango ilifurahisha lakini Ligumi mhaaa haaa ha aaa eti Tanzania tumempata Sokoine wetu hata 2% bado hajamfikia.
Kasi ya kumtimua Mama Kilango ilifurahisha lakini Ligumi mhaaa haaa ha aaa eti Tanzania tumempata Sokoine wetu hata 2% bado hajamfikia.
Utukufu wa Mungu ni wa ajabu sana !Mungu ana makusudio kwa watu wake waliokuwa wameanza kulishwa matango pori kupitia vyombo vya habari kuwa amepatika malaika tena mtenda haki asiyestahili hata kukoselewa na ukimkusoa wewe si mzalendo bali una wivu tu na chuki dhidi yake.
Tumeaminishwa haangali sura,hana chama,anasimamia haki,hamuogopi mtu, n.k na zaidi tumuombe kwa mungu.
Hata hivyo,limeibuka jambo ambalo litawasaidi wengi kama si wote kujua ukweli halisi kuhusu mtu huyu na kama kweli anafanya mambo yanayostahili yeye kuombewa.
Mungu aliona asisubiri sana maana watu wake wanazidi kupotea.
NB: Kupitia mungu huyo huyo,vice versa is also true.
Tusubiri.
Tusubiri na ya UDA na DARTKampuni ya kuprint T Shirts ghafla imekuwa ya kufanya vitu vya Technical bila hata support ya wasomi wa kada hiyo
Watoto yatima hawakupenda kuwa hivyooooo..... kabla hujafa hujaumbika ..Teh Teh kuna siku ulisema una subiri amtumbue aliye mteua na hili likipita utasema tena...
Bawacha mmeshakuwa kama watoto Yatima ni kulialia tuu.
Teh Teh Bawacha bhana unasubiri ndege bandarini mwaka huu Magu atawafunga midomo!Tusubiri na ya UDA na DART