Kuifanya simu za Huawei v19 pro ziweze kutumia mitandao ya ndani ya nchi

Kuifanya simu za Huawei v19 pro ziweze kutumia mitandao ya ndani ya nchi

kilama

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2015
Posts
2,745
Reaction score
1,989
Wakuu habarini za jioni.

Naombeni msaada namna ya kuifungua simu za huawei v19 pro ziweze kutumia mitandao ya ndani ya nchi, kwani nimenunua simu tajwa hapo juu kila ninapoweka laini za mitandao ya Tanzania hazisomi isipokuwa kwa emergency calls tu, hivyo naombeni msaada kwa hilo wakuu.

Natanguliza shukrani zangu za dhati.
 
Mkuu akili ya kupigwa iko kichwani mwqngu, ebu nitumie picha ya hiyo simu yako niione halafu nikupe mrejesho.
 

Attachments

  • IMG_20210114_131637_8.jpg
    IMG_20210114_131637_8.jpg
    157.9 KB · Views: 12
  • IMG_20210114_132145_1.jpg
    IMG_20210114_132145_1.jpg
    205.7 KB · Views: 11

Pole sana mkuu, hapo ushapigwa tayari.

Hapo nikiangalia vizuri huo mfumo ni wa Samsung, halafu nikwambie tu Hakuna huawei V19 Pro. Bali kuna Vivo V19 Pro.

Cha kukushauri tu nenda kwa fundi akufanyie harakati za network kusoma. Kama uko mkoa nilioko nitafute nikufanyie kazi.
 
Hizi ni zile za kikuu?
Ulifanikiwa?
 
Pole mkuu, kitu kizito kimekushukia kichwani. Nikiangalia Icon ya Calculator na Camera naona kama za samsung hivi
 
Back
Top Bottom