Kuifufua Tanganyika ni kuiua Tanzania

Kuifufua Tanganyika ni kuiua Tanzania

mzenjiboy

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2010
Posts
907
Reaction score
385
Hayo hapo juu ni maneno ambayo aliwahi kuyatamka Mwalimu Nyerere hapo zama za kale. Jee maneno hayo bado yaenziwe au watu wasonge mbele kwa kudai Tanganyika yao ? 60% (kura ya maoni) ya Watanganyika wanataka Tanganyika yao, Mwalimu munamuweka position ipi ?
 
tumuheshimu mwalimu ila maneno yake sio maandiko matakatifu kwamba hawawezi kujadiliwa na kupingwa
 
Mkuu tusidanganywe ni Nyerere 2kadanganyika serekali ya Tanganyika ipo, jiulize wizara ambazo c zamungano kama sheria na katiba huwa ni wizara za NCHI gani?
 
Hayo hapo juu ni maneno
ambayo aliwahi kuyatamka Mwalimu Nyerere hapo zama za kale. Jee maneno
hayo bado yaenziwe au watu wasonge mbele kwa kudai Tanganyika yao ? 60%
(kura ya maoni) ya Watanganyika wanataka Tanganyika yao, Mwalimu
munamuweka position ipi ?

Duh kaka vipi una2aibisha, kwa iyo swahiba ata COLGATE hununuwi mana nyerere kasema ni kuhujumu uchumi,.
 
Kuna watanganyika hadi leo wanamuabudu nyerere,ajubu sana.
 
Bado tu mnamini kila alilosema nyerere akiwezi kupingwa au kujadiliwa? Poleni sisi watoto wa tanganyika tunataka tanganyika yetu
 
Hayo hapo juu ni maneno ambayo aliwahi kuyatamka Mwalimu Nyerere hapo zama za kale. Jee maneno hayo bado yaenziwe au watu wasonge mbele kwa kudai Tanganyika yao ? 60% (kura ya maoni) ya Watanganyika wanataka Tanganyika yao, Mwalimu munamuweka position ipi ?
Nyerere ni jembe. Nyerere ndiyo mfano bora wa kiongozi msafi. Pamoja na yote hayo, Tanzania ni KWA AJILI YA WATU WALIOPO NA WATAKAO ZALIWA. Full stop.

Nyerere hayupo tena na hivyo majaliwa ya Tanzania yataamuliwa na sisi wote tuliohai kwa manufaa yetu na vizazi vijavyo.

Jambo la msingi ni kuwa Watanzania wenyewe ndiyo wameomba Tanganyika. Serikali tatu ndiyo hoja ambayo tumeona kuwa itatufaa. Tusonge mbele tupate Tanganyika yetu na tupate maendeleo. Viva Nyerer, Viva Tanganyika.
 
Mkuu tusidanganywe ni Nyerere 2kadanganyika serekali ya Tanganyika ipo, jiulize wizara ambazo c zamungano kama sheria na katiba huwa ni wizara za NCHI gani?

Watakwambia za Tanzania Bara... Ngoja wasio itambua Tanganyika waje uwasikie.
 
Kumuenzi Mwl Nyerere tuanze na Kutekeleza Azimio la Arusha, acha porojo za serikali mbili hapa. Tanganyika Lazima.
 
Back
Top Bottom