Hayo hapo juu ni maneno
ambayo aliwahi kuyatamka Mwalimu Nyerere hapo zama za kale. Jee maneno
hayo bado yaenziwe au watu wasonge mbele kwa kudai Tanganyika yao ? 60%
(kura ya maoni) ya Watanganyika wanataka Tanganyika yao, Mwalimu
munamuweka position ipi ?
Nyerere ni jembe. Nyerere ndiyo mfano bora wa kiongozi msafi. Pamoja na yote hayo, Tanzania ni KWA AJILI YA WATU WALIOPO NA WATAKAO ZALIWA. Full stop.Hayo hapo juu ni maneno ambayo aliwahi kuyatamka Mwalimu Nyerere hapo zama za kale. Jee maneno hayo bado yaenziwe au watu wasonge mbele kwa kudai Tanganyika yao ? 60% (kura ya maoni) ya Watanganyika wanataka Tanganyika yao, Mwalimu munamuweka position ipi ?
Mkuu tusidanganywe ni Nyerere 2kadanganyika serekali ya Tanganyika ipo, jiulize wizara ambazo c zamungano kama sheria na katiba huwa ni wizara za NCHI gani?