Nifahamuvyo mimi kila zama na kitabu chake
Kinachoendelea nchini kutoka jeshi la polisi na wanasiasa waliojificha nyuma yao kwa kuwabana wapinzani wao katika siasa ni kutaka kuendeleza ya hayati lakini nawaza kwa sauti itawezekana?
Hayati Dkt. Magufuli ni yeye tu kuwa kama yeye ni kuiga na kuiga unaweza kupatia au kuharibu.