HUsika na kichwa cha habari hapo juu, Taifa la Tanzania ni miongoni mwa mataifa yanayokuwa kwa kasi sana africa na africa mashariki
Lakin mbali na ukuaji wake bado kuna maeneo hasa miji iliyopo kandokando ya bahari yanahitaji kuwekewa nguvu ili ibadilike na kuwa majiji (Cities) HII Itasaidia sana kwenye kuinua uchumi wa inchi yetu
Kwa sababu ,ukiangalia inchi za maghalibi na Asia miji yote iliyopo pembezone mwa bahari ndio mijii yao mikuu kwa utalii na biashara kwa ujumla watu wengi wanapenda kutembelea kwa sababu kuna maeneo mengi ya kufurahia na kupumzika na familia zao, Serikali iangalie hili suala kwa umakin sana hata kuwapa wawekezaji ili kuweza kuijenga tena miji hii ambayo Ndio taswira ya tanzania tuitakayo ,ukitengeneza hii miji vizur na kuiboresha kwa fedha za serikali basi faida itakuwa kubwa sana ,usafilishaji utakuwa ni wa raisi sana kwa sababu njia zote zitakuwa zipo wazi, kila aina ya usafili ( anga, maji, na inchi kavu) utakuwa ni urahisi na uwakika (miji kama VILE MTWARA, LINDI BAGAMOYO, DARES SALAAM, NA TANGA)Ambayo tayari kuna majiji kama Tanga na Dar es salaam, lakini bado haijafika kwenye kile kiwango cha majji makubwa duniani au Africa inahitaji maboresho zaid na miundombinu za kisasa ili kuongeza mvuto na hadhi ya jiji, na miji kama bagamoyo, mtwara na Lindi nayo inahitaji ukarabati mkubwa ili kufikia Level ya jiji,
Hata ukiangalia katika historia ,wakolon walipofika rasi ya africa mashariki ,miji mikongwe ilikuwa ni lindi na mtwara ,tanga ,bagamoyo na dare salaam na ndio biashara ilikuwa inafanyika na usafiriahaji wa haraka wa malighafi, kwaio unaweza kuona ni namna gani walitumia fursa kwenye hii miji ya kandokando ya bahari katika maendeleo, na walifanikiwa kwa Kiasi kikubwa sana ,kwa sababu waliona tukianza kuiboresha hii miji basi mambo yote yatakuwa sawa na shughuli za biashara zitafanyika, na hata historia yaleo tunayoisoma miji ya kale bado ipo kama kivutio cha utalii,na umuhimu wake ni mkubwa sana.
Umuhimu wa kuifanya miji tajwa hapo juu kuwa majiji
1. Urahisishaji wa usafiri; unaweza kutumia njia zote za kusafiri kufika eneo husika na hiibitasaidia kukua kwa sekta ya usafirishaji inchini kwa sababu matumizi ya ndege ,meli ,boat na mabasi yanaweza fika eneo husika na miundombinu itaboreshwa kwa kiwango cha juu
2. Kukuwa kwa biashara: tukiludi nyuma enzi za ukoloni ,miji hii ya kandokando ya bahari ndio miji ilikuwa ikiongoza kwa biashara inchini kote ,na hata sasa jiji kama dar es salaam ndio kitovu cha biashara inchini kwetu ivyo ongezeko la miji iliyo pembezone mwa bahari kutasaidia biashara inchin kukua mara dufu ya ilivyo sasa. Na hata mnyororo wa thaman utakuwa ni mrefu zaidi kwa sababu ya ongezeko ya miji mikuu.
3. Kukua kwa sekta ya Utalii. Duniani kote miji kama dubai ,london New york ni ya mda mrefu sana na maarufu kwa utalii mamilion ya watu humiminika kwenda kujionea uzur wa hiyo miji hii inatokana na uwepo wa bahari watu wanaenda pumzika na kufurahia na familia zao ,ivyo serikali ikitilia mkazo katka jambo hili basi tutakuwa na miji ( majiji) ambayo watalii wataongezeka sana kutokana watu wengi hupendelea maeneo ya bahari kupumzika na kula maisha hasa kpndi cha likizo na mwsho wa mwaka. Hivyo basi sekta yautaliii itakuwa maradufu na kujipatia kipato cha taifa.
4. Uhusiano mzuri wa kibiashara na mataifa ya nje: maeneo yote yanayozungukwa na bahar kama tukiiboresha hasa bandari zote hii itasaidia urafiki kwa usafirishaji wa mizigo kwa kutumia meli za mizigo
( cargo ship) makampuni kama silent ocean, mapembelo cargo, kilimanjaro star cargo na wengne pamoja na mataifa ya uchina na uturuki wataweza kutufikia kwa urahisi na maeneo mengi ya inchi yetu, kwa sababu miji kama tanga ,meli zote zitalisha maeneo ya kaskazi na nyanda za juu, Daresalaam itakuwa inalisha tanzania ya kati na mtwara na lindi itakuwa inarisha mikoa yote ya kusini na inchi zote ambazobhutumia bahari ya hindi kama malawi, zambia na zimbabwe.
Hitimisho
Mradi huu unaweza kufanikisha endapo serikali watalitilia mkazo suala hili ,ili inchi yetu ikuwe kwa kasi na kupunguza idad ya umasikin inchini, na inaweza ikachukua miaka 15tuh kukamilisha na kuitaka tanzania ya kisasa na sio hii ambayo tunayo. Na ndio utakuwa mradi mkubwa wa kimkakati wa maendeleo ya jamii kwa ujumla.

Upvote
3