Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nadhani wote tumeona mwenendo wa kuimarika kwa shillingi ya tanzania swali langu la msingi nani apewe heshima ya tukio hili...mkullo, rais au wafanyabiashara?
Mkuu nisaidie exchange rate ya dola na madafu. Exchange rate ya leo
nadhani wote tumeona mwenendo wa kuimarika kwa shillingi ya tanzania swali langu la msingi nani apewe heshima ya tukio hili...mkullo, rais au wafanyabiashara?
wewe unaota. Imeimarika kivipi? Kutoka sh. 1200 wakati wa mkapa hadi 1670 wewe unaona inaimarika?
kama wewe ni mdau wa sekta hii utafahamu kuwa tayari shilingi ilianguka mpaka kufikia 1980 kwa dola sasa toka kipindi hicho kadri tunavyoweza kuishusha dola ndio tunaita shilingi imeimarika. usitumie takwimu za zamani sana kwani unataka kukumbushia enzi za nyerere shs 5 per dola?....mkuu nadhani umenipatawewe unaota. Imeimarika kivipi? Kutoka sh. 1200 wakati wa mkapa hadi 1670 wewe unaona inaimarika?
Mwalimu gani kakwambia kwamba ni lazima USD iwe inapanda kadri miaka inavyosonga mbele, kwa hiyo mwaka 2020 dola inatakiwa iwe kiasi gani?Tuna
matatizo watanzania....
Hebu jikumbushe ile nyimbo ya " wa Ujana wangu mimi BABA YENU"
Halafu ndio utajiridhisha kua dunia hairudi nyuma sasa wewe unataka
dollar ibaki 1200 tu .... Get lost...
Wakati hujatukana wenzako jiangalie wewe kwanza unauelewa kiasi gani na
hili ndio tatizo letu kila mwana JF anajiona yeye kichwa...
Ok tukikua tutaacha.....
Yani hizi nguvu tunazotumia kuwapigia debe watu fulani kana kwamba
wakitawala wao tutakua peponi tungezielekeza kwenye maendeleo binafsi
nchi ingekua mbali .
Mwalimu gani kakwambia kwamba ni lazima USD iwe inapanda kadri miaka inavyosonga mbele, kwa hiyo mwaka 2020 dola inatakiwa iwe kiasi gani?
wewe unaota. Imeimarika kivipi? Kutoka sh. 1200 wakati wa mkapa hadi 1670 wewe unaona inaimarika?
nadhani wote tumeona mwenendo wa kuimarika kwa shillingi ya tanzania swali langu la msingi nani apewe heshima ya tukio hili...mkullo, rais au wafanyabiashara?
Wakuu kuuliza si ujinga. Hivi kuimarika kwa shillingi dhidi ya US dollar inasaidia nini wananchi? Mbona bei za bidhaa zinazidi kuongezeka? Naomba munieleweshe, ni nani anaefaidika, ni mfanya biashara au Serikali?