Wakudadavuwa
JF-Expert Member
- Feb 17, 2016
- 17,506
- 16,003
DaaahWanajaribu,
Katika hali iliyotabiriwa kinyume na "haters" sasa shirika la ndege la Tanzania limeongeza safari kutokana na mahitaji kuongezeka.Hata kule Katavi ambapo ndege ilikuwa haiendi hadi Rais alipoagiza sasa mahitaji yameongezeka.
Ni suala la muda tu muda umeumbua wengi.View attachment 1315637
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakudadavuwa,
Wanaongeza kwa maneno tu hawa... hawafuati kabisa muda wa safari...
1. arehe 23 Dec 2019, ndege iliyokuwa inakwenda Mwanza ikitokea Dar ilighairishwa mara zaidi ya moja huku abiria wakiwa eneo la kusubiria ku-board
2. tarhe 30 Dec 2019, ndege zote za mchana za Dar Mwanza zilifutwa na abiria wote wakaambia watasafiri saa moja usiku na baadaye wakaondoka saa 4
3. Kuna siku binafsi nikiwa natoka Mtwara kwenda Dar, Ndege ilifutwa kabisaa na tukafaulishiwa Precisionair....
Management bado sana...
Mwandoswa alishatwiti hayo hayo kwa ndege ya Entebe Dar
Unajua, huwezi muweka mtu anasubiria ku-board hadi muda wa ku-board unafika hakuna anayesema lolote... hadi mtu unaanza kuhisi umeachwa..!!! Majigambo yatolewayo ya kuwaaminusha watu ukamilifu walionao, ukilinganisha na hali halisi havifanani...Watu wengi bado hamjajua kuwa ATC bado ni shirika changa linalojiendesha katika nchi yenye sekta changa ya usafiri wa anga. Kuwa na changamoto ni lazima, hasa kwa kuwa safari nyingi ni mpya na pia bado shirika halijajitosheleza 100%
Ndege ikiahirishwa au kufutwa kwa sababu za kiufundi (hata kama hawajasema) ni mara mia zaidi kuliko kuendelea na safari ili kufurahisha abiria. Ni bora zaidi abiria akarudi nyumbani amenuna kuliko akarudi nyumbani maiti.
Bado ATC ina ndege chache na pia miundombinu ya anga ya nchi sio rafiki kuwa
na flexibility ya kuwa na fast response inapokea kuna dharura. Mfano ikitokea ndege ya kwenda Dodoma imepata dharura na kuna A220 ipo idle na inaweza kuitatua dharura hiyo haitaweza maana Airbus haiwezi kutua uwanja wa Dodoma kwa sasa.
All in all, Management ya ATC inajitahidi sana.. sana kuliendesha shirika, matatizo na changamoto zipo. Ikitokea bahati mbaya safari yako ikapata msukosuko (kuahirishwa au kuondolewa) shukuru tu kwa kuwa mara nyingi wamezingatia zaidi usalama wako.
Hata mashirika makubwa duniani yanakumbana na hizi changamoto (kama umesafiri nje utaelewa), na wao usalama ni kitu cha kwanza hata kama safari itakuwa delayed siku 2.
Wanajaribu,
Katika hali iliyotabiriwa kinyume na "haters" sasa shirika la ndege la Tanzania limeongeza safari kutokana na mahitaji kuongezeka.Hata kule Katavi ambapo ndege ilikuwa haiendi hadi Rais alipoagiza sasa mahitaji yameongezeka.
Ni suala la muda tu muda umeumbua wengi.View attachment 1315637
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa wanajimwambafy ili iweje wakati wako vibaya sana, natoka Entebe kuja Dar nilitarajia kifika saa sita mchana siku ya ijumaa maajabu niliingia saa 11 asubuh siku ya jumamosi.Watu wengi bado hamjajua kuwa ATC bado ni shirika changa linalojiendesha katika nchi yenye sekta changa ya usafiri wa anga. Kuwa na changamoto ni lazima, hasa kwa kuwa safari nyingi ni mpya na pia bado shirika halijajitosheleza 100%
Ndege ikiahirishwa au kufutwa kwa sababu za kiufundi (hata kama hawajasema) ni mara mia zaidi kuliko kuendelea na safari ili kufurahisha abiria. Ni bora zaidi abiria akarudi nyumbani amenuna kuliko akarudi nyumbani maiti.
Bado ATC ina ndege chache na pia miundombinu ya anga ya nchi sio rafiki kuwa
na flexibility ya kuwa na fast response inapokea kuna dharura. Mfano ikitokea ndege ya kwenda Dodoma imepata dharura na kuna A220 ipo idle na inaweza kuitatua dharura hiyo haitaweza maana Airbus haiwezi kutua uwanja wa Dodoma kwa sasa.
All in all, Management ya ATC inajitahidi sana.. sana kuliendesha shirika, matatizo na changamoto zipo. Ikitokea bahati mbaya safari yako ikapata msukosuko (kuahirishwa au kuondolewa) shukuru tu kwa kuwa mara nyingi wamezingatia zaidi usalama wako.
Hata mashirika makubwa duniani yanakumbana na hizi changamoto (kama umesafiri nje utaelewa), na wao usalama ni kitu cha kwanza hata kama safari itakuwa delayed siku 2.
Sijui kama yupo... najaribu kuwaza, kwa mtu anayeunganisha ndege, say Mwanza to Dar to DXB halafu ndege itokayo Mwanza ibadilishwe muda wakati hii ya DXB muda haujabadirika...Hivi kuna mtu amewahi kuzitumia hizi ndege safari tatu bila kupata bughudha???
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu, ni changa kuliko hata precision air?Watu wengi bado hamjajua kuwa ATC bado ni shirika changa linalojiendesha katika nchi yenye sekta changa ya usafiri wa anga. Kuwa na changamoto ni lazima, hasa kwa kuwa safari nyingi ni mpya na pia bado shirika halijajitosheleza 100%
Ndege ikiahirishwa au kufutwa kwa sababu za kiufundi (hata kama hawajasema) ni mara mia zaidi kuliko kuendelea na safari ili kufurahisha abiria. Ni bora zaidi abiria akarudi nyumbani amenuna kuliko akarudi nyumbani maiti.
Bado ATC ina ndege chache na pia miundombinu ya anga ya nchi sio rafiki kuwa
na flexibility ya kuwa na fast response inapokea kuna dharura. Mfano ikitokea ndege ya kwenda Dodoma imepata dharura na kuna A220 ipo idle na inaweza kuitatua dharura hiyo haitaweza maana Airbus haiwezi kutua uwanja wa Dodoma kwa sasa.
All in all, Management ya ATC inajitahidi sana.. sana kuliendesha shirika, matatizo na changamoto zipo. Ikitokea bahati mbaya safari yako ikapata msukosuko (kuahirishwa au kuondolewa) shukuru tu kwa kuwa mara nyingi wamezingatia zaidi usalama wako.
Hata mashirika makubwa duniani yanakumbana na hizi changamoto (kama umesafiri nje utaelewa), na wao usalama ni kitu cha kwanza hata kama safari itakuwa delayed siku 2.
Akikujibu majibu sahihi naomba unitagMkuu, ni changa kuliko hata precision air?