Kuimba kupokezana

Kuimba kupokezana

Andrew123

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2012
Posts
8,358
Reaction score
10,976
Usijasahaulishe, Zama zako ulikua hugusiki enzi hizo unalamba asali ndani kwenye kiyoyozi Sasa zamu za kina Napepe na February.

Tulia ujipange upya 2040, kuimba kupokezana.

Asante

 
Shida yetu sio Bashiru acheni usengelema shida yetu ni umeme, maji, ma bando yamepanda vyakula bei juu nyie mna tuletea ngonjera
 
20221126_210553.jpg
 
Back
Top Bottom