naombeni ujuzi wenu wana jamvi,jinsi gan naweza import digital camera,simu na tablet from india to Tz.Ningependa kujua ni kwanjia gani na Cost then jinsi gan naweza upokea ukifika Tz na kama kuna gharama zozote hapa Tz.Naombeni msaada wenu kwenye hili wandugu.
Bado nashauri njia ya posta japo baadhi ya watu wanasema wanaiba..mimi naitumia huu ni mwaka wa nane bila tatizo lolote almost every two weeks natuma mzigo toka hapa dubai...mzigo mdogo kama huo ni posta kitengo cha parcels,uzuri posta zipo kila mtaa huko india hivyo inakuwa rahisi almost itachukua wiki 2..kumbuka mzigo ukifika tanzania ni lazima ufunguliwe ili watu wa pale tra wawezethaminisha kiasi cha kodi utakachotakiwa kulipia ambacho si kikubwa sana..kuna njia nyingine kama dhl na ups lakini ni very expensive..tumia posta..kuhusu cost za kutuma toka india sina uhakika lakini kwa kg 15 toka hapa dubai kwenda TZ ni kama elfu 40..so kwa hivyo vitu ulivyotaja vina uzito mdogo itakuwa chini
Thanks lucky sabasaba,then unawezajua itakuwa how much kwa tra kama tax kwenye hzo product nilizo mention.How tra calculate tax kwenye hizo commodity?....Much respect to wanajammvi wote.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.