Wewe ulishajaribu wakakutoza kama hizo za Japan?Make sure huko Uganda unalinunua kwa Bei ya chini kabisa, maana likija hapa kwa zakayo utalipia kodi kama vile umeli import Toka Japan
Ni kweli utalipia yote kama gari mpyaWewe ulishajaribu wakakutoza kama hizo za Japan?
Kisheria unalipia yoteWewe ulishajaribu wakakutoza kama hizo za Japan?
Ongezea hii hata Kama akipewa Hilo gari bureeee lazima atalipia kila kitu Kama limetoka Pale YOKOHAMA JAPANkuingiza gari toka nje ya nchi (tanzania) lazima ulipie kodi bila kujali ni nchi gani, kodi ya magari inategemea sana na aina ya gari na mwaka wa gari, na sio nchi inakotoka........
wewe kama unataka kununua na umeipenda nunua tu ila kodi ya kutoka uganda na kutoka japan ni sawa kabisaa(hapo utaamua wewe)
hata ukinunua bei ya chini kabisa haitakusaidia sababu valuation zipo na kama ikitokea umenunua kwa bei ndogo hapa itaongezwa mpaka kufikia bei ya valuation ya gari husika (lakini ukinunua bei ya juu zaidi hawatatpunguza)
jua kwanza bei ya ushuruhaoa na cost nyngne kabla hujanunua huko usije ukaiacha pale mtukula [emoji14] 😛
Ongezea hii hata Kama akipewa Hilo gari bureeee lazima atalipia kila kitu Kama limetoka Pale YOKOHAMA JAPAN
Hawa machoko wa TRA ukipewa bure gari wanaweza kuichaji kodi ile kodi ya gari yenyewe ili mradi tu ulipe kodi kwa style hii....wakuu vipi kama huyo mwamba wa Uganda akimpa ndinga huyo mbongo bure? bado watataka kodi wakati biashara haijafanyika?
Hawa machoko wa TRA ukipewa bure gari wanaweza kuichaji kodi ile kodi ya gari yenyewe ili mradi tu ulipe kodi kwa style hii....
Dah.... Aisee nimeishiwa nguvu kabisa. Nikajua labda pengine kama ikiwa ni hapa. Ndani ya afrika basi kutakuwa na consideration ya location gari ilipotokea.
Dah sasa hapa sijui nafanyaje na jamaa nilishampanga hadi bei but nimemwambia angojee nizungumze na watu wa mamlaka ya mapato niweze kufahamu juu ya swala la kodi na tozo zingine.
Sasa kwa minajiri hii inamaana hii biashara haitawezekana ukizingatia gari limetokea japan. Kulinunua anaweza nipunguzia zaidi ila bei ya hapo Uganda inamaana ndiyo itafanyiwa evaluation na itakuwa ni kubwa kuliko evaluation ya japan sababu now nitakuwa kuna bei halisi plus Kodi ya uingizaji ya Uganda, then kuna cha juu cha faida ambacho mtu anaweka kwenye biashara. Sasa yote hiyo ikifanyiwa evaluation nilipie kodi itakuwa ndio nimefanya nini hapo.
Hela ya Uganda kwa Tanzania ni ndogo sana. So its cheap kununua gari ya Uganda kwa mtanzania. But swala lilipo ni maswala ya kodi.Kodi ya Uganda na Tanzania ni tofauti, cha kufanya ni kupiga hesabu then ulinganishe from uganda ama Japani, lakini cost za hapa zote ni sawaa
Ngoja nimjibie binafsi nilishalipa hivyo kwa gari ya kenya.Wewe ulishajaribu wakakutoza kama hizo za Japan?
Kiasi gani ulilipa mkuu?Ngoja nimjibie binafsi nilishalipa hivyo kwa gari ya kenya.
Serikali ya wanyonge chini ya jemedari jiweKuingiza gari toka nje ya nchi (Tanzania) lazima ulipie kodi bila kujali ni nchi gani, kodi ya magari inategemea sana na aina ya gari na mwaka wa gari, na sio nchi inakotoka........
Wewe kama unataka kununua na umeipenda nunua tu ila kodi ya kutoka uganda na kutoka japan ni sawa kabisaa(hapo utaamua wewe)
Hata ukinunua bei ya chini kabisa haitakusaidia sababu valuation zipo na kama ikitokea umenunua kwa bei ndogo hapa itaongezwa mpaka kufikia bei ya valuation ya gari husika (lakini ukinunua bei ya juu zaidi hawatatpunguza)
Jua kwanza bei ya ushuruhaoa na cost nyngne kabla hujanunua huko usije ukaiacha pale mtukula 😛 😛