notoriousic
JF-Expert Member
- Oct 14, 2016
- 425
- 484
Jamani mko poa nimekuwa msomaji tu kwa mudaa sasa since 2015 imefikia kipindi natamani kuchangia baadhi ya mada nimeingia lasmi nikaribisheni jamani.
La madame
Astelia.
I need u mamitoNo but anyway thank you
Ndiye kiongozi wa mapokeziHapana ana nini huyo
Mie hata flat sawa tu, muhimu suraa [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16], anyway karbu sana and glad to have you in here La madame AsteliaToo bad ni flat kabisaaaa[emoji18]