Kuingia bila kukaribishwa sio ishu wala nini...

Mie hata flat sawa tu, muhimu suraa [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16], anyway karbu sana and glad to have you in here La madame Astelia
Thank you so much.... Mbaya zaidi hata sura simo kabisa [emoji17] [emoji24] [emoji23]
 
Jamani mko poa nimekuwa msomaji tu kwa mudaa sasa since 2015 imefikia kipindi natamani kuchangia baadhi ya mada nimeingia lasmi nikaribisheni jamani.

La madame

Astelia.

Lasmi ndio nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…