Kuingia JF halafu una dislike post za watu ni kielelezo tosha kuwa una hali mbaya sana ya ugonjwa wa akili, shida na dhiki za kimaisha

Kuingia JF halafu una dislike post za watu ni kielelezo tosha kuwa una hali mbaya sana ya ugonjwa wa akili, shida na dhiki za kimaisha

Kuna watu Humu sijui maisha yamewapiga wakapigika hasa. Hivyo wanakuja JF na makasiliko+stres unakuta mtu anakutukana tu bila sababu ukimjibu tu anaita maderator ili wakupige ban..Ajabu sasa unakuta ni wanaume aisee inasikitisha sana.
 
Hakuna upuuzi uliotukuka bhanaaa halafu likes au dislikes za humu hazipunguzi wala hazituongezei kitu
 
Nina uhakika kabisa tena wa 100% kuwa Message Sent and Delivered accordingly kwa wenye huu UPUUZI TUKUKA JF.
kulia lia kisa kupewa dislike napo ni dalili tosha ya ugonjwa wa akili pia.🤣😅😂😆😁😄
 
Back
Top Bottom